Mhe. Hemed ameupongeza Umoja wa Vijana wa CCM Mkoa wa Kusini Unguja kwa kuanzisha Program ya elimu.

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmshauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameupongeza Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Kusini Unguja kwa kuanzisha Program ya elimu ya inayolenga kuwasaidia wanafunzi ndani ya mkoa huo. Mhe. Hemed ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar alitoa pongezi hizo katika